Afisa mipango wa taskiu BI. REBECA ametamka kuwa hatalipa mishahara ya wafanyakazi waliogoma
Tunasema tena kwa kusititiza Yeyote aliegoma hatalipwa Taskiu kupitia afisa mipango wake bi. Rebecca AMesema yeyote aliehusika kufunga duka la jumla la nguo huko nzega hatalipwa kwani ameitia kampuni hasara hiyo ni baada ya wafanyakazi wanne wanaouza duka kubwa la nguo za jumla huko nzega kufunga kwa wiki nzima huku wakidai kisa ni mishahara kuchelewa kitu ambacho bi. Rebeca Amepinga kuwa mkataba wao unahusisha kuwalipa tarehe 18 na si 5 kama wanavyodai baadhi ya viongozi wa Taskiu Akiwemo mwenyekiti bi. Agnes Na katibu Pascal steven Na wengine wamelaani kitendo hicho cha vijana hao vikali.