Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2023

SOKO JIPYA LA HISA TASKIU GROUP COMPANY TAR. 8-9-2024

Hilo ndilo jambo la kusubiriwa na kila mdau wa taskiu kwamba ni mda mrefu tangu mara ya mwisho taskiu ilipoweka mpango mkakati wa kupanua mipaka yake na ilikua ni baada ya kuweka miradi ya kilimo manyara iliogharimu milion 35 safari hii mpango mkakati umekua ni kuzifikia babati na simanjiro ambapo zimeazimiwa kuuzwa hisa elfu 60 mpaka ifikapo mwezi wa tisa makani hilo ndilo linalosubiriwa kuiona taskiu ikisogea zaidi baada ya miaka miwili mungu ibariki taskiu ifikie malengo yake.