Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya TASKIU GROUP COMPANY LIMITED

TASKIU GROUP COMPANY LIMITED RAFIKI WA WATU WANAOPENDA MAENDELEO YA PAMOJA NA SI UBINAFI WA KUJITAKIA MAFANIKIO MWENYEWE

Picha
Huyu ni madame Agnes mziray Jana alipoongoza kamati tendaji katika kikao cha sita na cha nusu mwaka ambacho kimeacha wadau wengi wa Taskiu Baada ya kuvuliwa uanachama wale jamaa wawili waliokula fedha za mradi wa mbogamboga kule iringa, kwa kawaida ilitakiwa wajitetee kabla ya jana lakini mabwana wale wamekua wakiipiga chenga ofici kuu lakini kitendo hicho kisichovumilika kiliipa kamati tendaji ikiongozwa na madame Agness Jana maamuzi ya kuwavua uanachama mabwana wale waliotumia fedha za Taskiu Kinyume na katiba Na kutokana na jamaa hawakuta kujitetea maamuzi yaliyofanywa na mkutano yakawa ni halali Je kwa wadau wanasemaje karibu ya asilimia mia wameunga mkono swala hilo tena nafikiri mdau ambaye hataona kuwa imetendeka haki hata yeye achunguzwe iwe itakavyokva lazima Tusonge mbele.

HAPPY NEW YEAR 2021 tunasema kwaheri 2020 na kukaribisha rasmi 2021 katika safari mpya ya mafanikio katika kuelekea kutimiza madhumuni ya UMOJA kwa pamoja haya majina yafuatayo yatajumuishwa katika salamu za mwanzo wa mwaka 2021 za TASKIU GROUP COMPANY LIMITED

Picha
KWANZA yote kabla ya chochote tukutakie Heri ya mwaka mpya 2021 safari ya uhakika tumevuka Wakati tukiendelea na mikakati na mipango ya mwaka huu mpya wanachama wa mashirika yoote yanayomilikiwa na Taskiu Kama Hugal, The Boss, Best Design, Santana Na makundi yoote ya sanaa na utamaduni kwa pamoja yanakuambia Happy+New+Year TUNASEMA HUU NI MWANZO TU KAZI NDIO INAKWENDA KUANZA