NI HABARI NJEMA KWA WANAFAMILIA WOTE WA TASKIU GROUP KWA MUUNGANIKO WA KUNDI LA UPENDO NA MORNING STRAR LEO JUMANNE YA TAREHE 27 MWEZI WA 9 MWAKA 2020 KIKAO KILICHOFANYIKA KATIKA KUMBI ZA KUNDI NA KUCHAGUB UONGOZI RASMI UTAKAOONGOZA KUNDI
Jambo hilo limeleta mabadiliko makubwa sana katika kampuni ya vipaji taskiu kwani muunganiko huo umekua chachu kwa makundi yanayomilikiwa na taskiu kwani kabla ya hichi wanachokifanya hakikufanyika kabla ya hichi kwani kwa wamefanya shooting ya filam yao ya kwanza na ya kwanza kwa taskiu na vile vile sio filamu tu na video clip fupifupi ambazo zinaitangaza taskiu kwa asilimia kubwa zaidi hivyo kuna sababu ya kuitizama hii kwa jicho la tatu zifuatazo ni picha za wana morning star na upendo group kabla ya muungano wakati wanashuti filamu yao iliokwenda kwa jina la ndoa ya mikasa