Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2021

Moja ya mafanikio makubwa tunayojivunia ni katika suala zima la upambaji wa harusi na mikutano

Picha
Moja Ya miradi aliokuja nayo madame rebeka pindi anaingia mwaka jana ilikua ni mradi wa kukodisha mziki na kupamba mikutano na harusi kama utani likiungwa mkono na wachaje mrengo wa kushoto katika kikao cha pili cha mwaka jana katika uongozi wa rebeka kama afsa mipango na jambo hili pia likachukuliwa kama mradi dhoofu kuliko yote pia upande wa wanachama hawakuunga mkono saana lakini kwa mwaka huu mradi huu umekua kati ya miradi iliofanikiwa zaidi ndani ya taskiu bila kujalisha mwaka jana mradi huu ulikua ukisuasua lakin kwa sasa ni mradi unaonekana kuleta kipato kikubwa zaidi kati ya miradi mingi inayomilikiwa na taskiu

Mradi mpya wa usambazaji wa movie zilizotafsiriwa kiswahili na madj wa kali wa TANZANIA sasa ni moja ya mipango mipya ya mwaka 2022

Picha
K atika mipango iliosapotiwa zaidi katika vikao vyote vilivyofanyika mwaka huu ndani ya taskiu ni mada ya usambazaji wa movie za nje ambazo zinatafsiriwa kwa kiswahili na madj wa tanzania kwa kushirikiana kibiashara na madj hao katika kusambaza mada hii ilipita bila kupingwa na mrengo wowote katika kikao hicho cha mwezi 9 mwaka huu na kuwa kikao cha kwanza kupita kwa asilia mia moja zaidi ya vikao vyote vilivyofanyika kati ya mwaka 2020 na 2021 jambo hilo litapitishwa rasmi katika Mkutano mkuu Wa mwaka 2021 utakaofanyika mwezi wa 12

ULIMWENGU MPYA WA TECKNOLOJIA TASKIU HATUJAACHWA HATA KIDOGO NDIO MAANA TUNAKULETEA SIMU ZENYE UWEZO WA DUNIA YA MWISHO AINA YA IPHONE 13 PRO & PRO MAX ILI UENDE SAMBAMBA NA UKUAJI WA KASI WA TECNOLOJIA

Picha
KATIKA ulimwengu huu wa maendeleo kama mkononi hujashika I phone 13 pro na i phone 13 pro max NYAMAza kimya kabisa ebanae dunia inaendelea kwa kasi ya 5g+ sijui unakua kwa wapi kipindi hichi lakini ili uende sambamba na mabadiliko hayo Taskiu Chini ya mradi wake wa maduka ya vifaa vya umeme na tecnolojia maarufu kama The Boss WAmeushusha mzigo mpya kabisa ni kitu cha I phone 13 pro Na I phone 13 pro max Pichani hapo au sio Hapo vipi cha kufanya tembelea maduka yetU nchini au pga simu Taskiu Ofice mwanza tz