Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2020

The best Design Clothing Store

Picha
The Best Design Clothing Store

*TANGAZO*TANGAZO* Best&professional electronic store

Best&professional electronic store Simu za kila aina Kwa bei za jumla na rejareja, Makava ya simu kwa beiza jumla na rejareja, Protector na screen aina zote kwa bei za jumla na rejareja. betri za simu chaja usb eaphone pamoja na powerbank kwa bei za jumla na rejareja lakini pamoja na hayo best&professional electronic store sasa wanakuletea kila bidhaa kwa punguzo la bei wakati huu wa sikukuu za Christimas na mwaka mpya Ili wewe mteja wetu popote pale ulipo uweze kusherehekea kwa furaha ukiwa na vitu vilivyo bora zaidi yote hayo ni ndani ya Best&profesional electronic store , kujipatia bidhaa bora na za Kijanga zaidi Kumbuka Maduka yetu yapo kila mahali nchini na kwa sasa tupo Singida, tabora na geita Zingatia jina Karibu Best&professional electronic store kwa huduma bora na za uhakika zaidi. TASKIU #KWA BIDHAA BORA NA ZA UHAKIKA

TANGAZO TANGAZO

Picha
Duka la uuzaji wa nguo kwa bei za jumla na rejareja gombe shop limekuletea bidhaa mpya tena kwa punguzo la bei kuelekea sikuku ya christimas kuotokana na kukujali mteja wetu fika sasa GOMBE SHOP

Best&profesional shop

Picha
Ni wale wale tusiokosea Best&profesional shop tunazidi kukuweka katika hali ya mshangao tukikufanyizia maukali ya nguvu kama ivi Kama kawaida yetu hatujawahi kosea tumekuletea ukali kama huo Na huu tena

Best&Professional Shop

Picha
b> Hili ni duka maarufu la uuzaji wa bidhaa za mavazi sasa wamekuletea viatu vikali vya kike na vya kiume kwa wale wataalamu wa kunyuka pamba kali sasa kazi kwenu Fasheni za wadada Yote hayo ni ndani ya BEST&PROFESIONAL SHOP Lakini pia tuna hivi kwa ajili ya mabrother men Dah mwanangu yani bado unataka kucharara tu acha zako ni muda wa pamba kali tu au sio karibu

MAUZO YA HISA

Picha
Katika mafanikio ambayo Taskiu Imeyapata ni tangu ilipoingia katika mfumo wa kihisa kwani tangu may mosi Taskiu Imeuza Vipande vya hisa 550,000 Vyenye thamani ya milioni 385 Ambazo zimeleta utofauti mkubwa kutoka kipindi cha uwekezaji wa mtu mmoja kwa sasa Pascal steven Ndio muwekezaji mkubwa kwa kumiliki hisa elfu 100 Akifuatwa kwa karibu na Lucia robson Mwenye vipande Vya hisa elfu 80 Wengine wanafuta nambari tatu akiwa na hisa Elfu 50 Nambari 4 na 5 wanamiliki hisa elfu 40 kwa kila mmoja nafasi ya 6 na kuendelea wanamiliki kuanzia hisa Elfu 25 Mpaka hisa tano kwa kweli wanachama wa taskiu wameelimika kwa tukio hilo kwani kila mwanachama anamiliki hisa angalao hata 5 yani kati ya asilimia 100 ya wanachama wote asilimia 85.5 wana hisa hili ni jambo la kujivunia Rebecca simon Ambaye pia ni afisa mipango wa taskiu naye akiwa anamiliki vipande Elfu 10 Vya hisa amesema kuwa uhakika wa kufikia lengo kwa sasa umeonekana wazi kutokana na watu wanavyojitoa kununua hisa.

TASKIU INAKARIBIA KWENYE KIPINDI CHA MAONYESHO MAKUBWA TAREHE 21/28 NA 29 MWEZI HUU WA 11

MSIMU WA BURUDANI katika miaka kadhaa sasa Taskiu Imekua ikiwakamata watu kwa burudani la aina yake kwa kutumia wasanii wenye mbembwe za aina yake sasa safari hii tunao Profesional comedy group Best talent art group Top level group Zama asili culture Group Hot star group Makundi yote haya ni tarehe 21 huko rock city Mwanza Tarehe 28 Singida Na tarehe 29 Top level WatakuA Musoma Shoo za kibabe chini ya usimamizi wa fundi promot Pascal steven Uskose kufika Utaburudika na utaelimika Taskiu #thenextlevel

Afisa mipango wa taskiu BI. REBECA ametamka kuwa hatalipa mishahara ya wafanyakazi waliogoma

Tunasema tena kwa kusititiza Yeyote aliegoma hatalipwa Taskiu kupitia afisa mipango wake bi. Rebecca AMesema yeyote aliehusika kufunga duka la jumla la nguo huko nzega hatalipwa kwani ameitia kampuni hasara hiyo ni baada ya wafanyakazi wanne wanaouza duka kubwa la nguo za jumla huko nzega kufunga kwa wiki nzima huku wakidai kisa ni mishahara kuchelewa kitu ambacho bi. Rebeca Amepinga kuwa mkataba wao unahusisha kuwalipa tarehe 18 na si 5 kama wanavyodai baadhi ya viongozi wa Taskiu Akiwemo mwenyekiti bi. Agnes Na katibu Pascal steven Na wengine wamelaani kitendo hicho cha vijana hao vikali.

RAMANI INYOONYESHA TASKIU INAVYOZIDI KUSAMBAA NCHINI KWA KUFUNGUA MATAWI SEHEMU MBALIMBALI

Picha
hivyo ndivyo taskiu inavyojitanua zaidi kwa kujiwekeza brunch ni hizo alama zinazoonekana hapo kwenye ramani.

Taskiu logo 2020

Picha

TASKIU IMEPIGA HATUA KUBWA KWA KUMPATA RAFAELI SHABANI MUIMBAJI WA MUZIKI KUTOKA TANGA

Picha
PICHA YA RAFAEL SHABANI NAFIKIRI SASA KATIKA HATUA KUBWA ZA MWAKA 2020 ni pamoja na hii viongozi wa Taskiu Wametia bidii hatimaye wamefanikiwa kupata Rafael shabani Ambaye amekua tayari kujiunga na kampuni mwishoni mwa mwaka huu peke yake ametambulisha nyimbo zake nne ambazo amerekodi na kwa sasa yupo katika harakati za kutolea nyimbo hizo video bi. Rebecca simon candra Upande wake akiwa kama afisa mipango wa Taskiu Amesema ni mafanikio makubwa mno ambayo taskiu imeyafikia kwa sasa Kundi la sanaa maarufu BEST TALENT Wamepongeza kampuni kwa tukio hilo kubwa na kiujumla kila mtu amefurahishwa na swala hilo pamoja na hayo rafael mwenyewe alisema ana furaha kujiunga na taskiu.

Taskiu logo brund

Picha

HABARI NJEMA SASA TASKIU IMEIBUKA NA BIDHAA NYINGINE MPYA KABISA

Picha
TASKIU imeibuka na mafuta ya kula ambayo yamebatizwa jina la Happy coocing oil Mafuta hayo yametengenezwa kwa alizeti na karanga hiyo ndiyo habari mpya kwa sasa sisi Taskiu The next level

unaweza ukajiuliza kitu gani kilikwamisha ukamilishaji wa filamu hii