TASKIU IMEPIGA HATUA KUBWA KWA KUMPATA RAFAELI SHABANI MUIMBAJI WA MUZIKI KUTOKA TANGA

PICHA YA RAFAEL SHABANI NAFIKIRI SASA KATIKA HATUA KUBWA ZA MWAKA 2020 ni pamoja na hii viongozi wa TaskiuWametia bidii hatimaye wamefanikiwa kupata Rafael shabani Ambaye amekua tayari kujiunga na kampuni mwishoni mwa mwaka huu peke yake ametambulisha nyimbo zake nne ambazo amerekodi na kwa sasa yupo katika harakati za kutolea nyimbo hizo video bi. Rebecca simon candra Upande wake akiwa kama afisa mipango wa Taskiu Amesema ni mafanikio makubwa mno ambayo taskiu imeyafikia kwa sasa
Kundi la sanaa maarufu BEST TALENT Wamepongeza kampuni kwa tukio hilo kubwa na kiujumla kila mtu amefurahishwa na swala hilo pamoja na hayo rafael mwenyewe alisema ana furaha kujiunga na taskiu.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Mradi mpya wa usambazaji wa movie zilizotafsiriwa kiswahili na madj wa kali wa TANZANIA sasa ni moja ya mipango mipya ya mwaka 2022