THE BOSS

Haya ni maduka maarufu ya uuzaji wa vifaa vya umeme kama simu za mkononi protector za aina mbalimbali power bank, taa za umeme na sola redio sabufa extension kebo za aina mbalimbali na kadhalika maduka haya yapo mikoa ifuatayo (dodoma, singida, tabora, manyara, morogoro, geita, mwanza, musoma na shinyanga) maduka haya yanamilikiwa na kampuni ya TASKIU.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Kuna haja ya kumpa ofisi bwana Clement Chagu Wadatoga atufanyie mambo makubwa