Kuna haja ya kumpa ofisi bwana Clement Chagu Wadatoga atufanyie mambo makubwa

CLEMENT CHAGU WADATOGA pichani ndie tumaini la umoja mwaka 2023 kwani kutokana na shinikizo la wadau wa Taskiu Imeonekana wazi viongozi wengi hawatagombea tena nafasi za juu akiwepo mwenyekiti wa sasa Madame Agnes Ambaye ametamka hivi majuzi kuwa ili kuwe na mabadiliko chanya ndani ya umoja wadau wayaone ni afadhali hata uongozi pia ubadilishwe na kutoa wale wote wanaohudumu katika sekta za uongozi zaidi ya miaka 6 lakini pia pendekezo la marekebisho ya katiba 2023 litakalomwezesha mwenyekiti wa umoja kumteua katibu mkuu, mweka hazina na afisa mipango limeonekana kuwa babu kubwa zaidi tofauti na miaka iliyopita watu hawa kuchaguliwa na wanachama lakini swala linalokuja mbele yetu ni swali moja
JE KUBADILISHA VIONGOZI WA ZAMANI NA KUWEKA WAPYA NDIO JIBU LA MAFANIKIO?
Tunapaswa kujiuliza mara tatu tatu katika maamuzi yetu Ndio maana nikasema kuna haja ya kumpa uenyekiti CLEMENT alafu wengine tukabadilisha ili tupate hekima kwa mkongwe huyu

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Mradi mpya wa usambazaji wa movie zilizotafsiriwa kiswahili na madj wa kali wa TANZANIA sasa ni moja ya mipango mipya ya mwaka 2022