KWA NIABA YA VIONGOZI WOTE WANACHAMA WOTE NA WASHIRIKA WA TASKIU GROUP TUNAPENDA KUWATAKIA WAISILAMU WOTE MWEZI MWEMA WA TOBA RAMAADHAN TUKUFU

RAMADHAN KAREEM Wana TASKIUTUmeona sababu kubwa kuwakumbuka wenzetu wanaofunga katika kufanya toba mwezi huu mtukufu wa ramadhan wakiwemo pia wanachama wetu na waislamu wote mwezi huu uwe wa mafanikio tele kwa yale yote mliokusudia pia Msisahau kuliombea taifa letu la TANZANIA katika wakati huu ambapo bado hatujajua hatma kamili itakuaje lakini pia niwakumbushe wanachama wote waislamu maneno ya madam AGNESJana aliwaomba wanachama wote kuiombea TASKIUKatika mwezi huu mtukufu ili iweze kusonga mbele na kufikia malengo

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Kuna haja ya kumpa ofisi bwana Clement Chagu Wadatoga atufanyie mambo makubwa