TASKIU GROUP COMPANY LIMITED RAFIKI WA WATU WANAOPENDA MAENDELEO YA PAMOJA NA SI UBINAFI WA KUJITAKIA MAFANIKIO MWENYEWE
Huyu ni madame Agnes mziray Jana alipoongoza kamati tendaji katika kikao cha sita na cha nusu mwaka ambacho kimeacha wadau wengi wa Taskiu Baada ya kuvuliwa uanachama wale jamaa wawili waliokula fedha za mradi wa mbogamboga kule iringa, kwa kawaida ilitakiwa wajitetee kabla ya jana lakini mabwana wale wamekua wakiipiga chenga ofici kuu lakini kitendo hicho kisichovumilika kiliipa kamati tendaji ikiongozwa na madame Agness Jana maamuzi ya kuwavua uanachama mabwana wale waliotumia fedha za Taskiu Kinyume na katiba Na kutokana na jamaa hawakuta kujitetea maamuzi yaliyofanywa na mkutano yakawa ni halali Je kwa wadau wanasemaje karibu ya asilimia mia wameunga mkono swala hilo tena nafikiri mdau ambaye hataona kuwa imetendeka haki hata yeye achunguzwe iwe itakavyokva lazima Tusonge mbele.
