HABARI YA SIKU NYINGI MPENDWA MDAU WA TASKIU GROUP COMPANY LIMITED TASKIU INAPENDA KUTAMBULISHA MRADI WAKE MPYA WA MWAKA 2022
KATIKA mpango mkakati mwaka ujao umehusisha mradi mkubwa wa ununuzi wa mazao na usafirishaji kutoka mashambani kwenda sokoni mradi huu mkubwa utasaidia wadau wa kampuni hii kupata ajira zaidi pamoja na ongezeko la kipato kitakachosaidia umoja kufikia malengo ya januari 15 2030 jambo hili ni limejadiliwa rasmi katika mkutano wa robo mwaka uliofanyika jana katika ofisi kuu mwanza na litapitishwa na kuidhinishwa rasmi kwenye mkutano mkuu mwezi wa 12 Mwaka huu kila la heri wadau
