Moja ya mafanikio makubwa tunayojivunia ni katika suala zima la upambaji wa harusi na mikutano

Moja Ya miradi aliokuja nayo madame rebeka pindi anaingia mwaka jana ilikua ni mradi wa kukodisha mziki na kupamba mikutano na harusi kama utani likiungwa mkono na wachaje mrengo wa kushoto katika kikao cha pili cha mwaka jana katika uongozi wa rebeka kama afsa mipango na jambo hili pia likachukuliwa kama mradi dhoofu kuliko yote pia upande wa wanachama hawakuunga mkono saana lakini kwa mwaka huu mradi huu umekua kati ya miradi iliofanikiwa zaidi ndani ya taskiu bila kujalisha mwaka jana mradi huu ulikua ukisuasua lakin kwa sasa ni mradi unaonekana kuleta kipato kikubwa zaidi kati ya miradi mingi inayomilikiwa na taskiu

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Kuna haja ya kumpa ofisi bwana Clement Chagu Wadatoga atufanyie mambo makubwa