MAUZO YA HISA
Katika mafanikio ambayo
Taskiu Imeyapata ni tangu ilipoingia katika mfumo wa kihisa kwani tangu may mosi Taskiu Imeuza Vipande vya hisa 550,000 Vyenye thamani ya milioni 385 Ambazo zimeleta utofauti mkubwa kutoka kipindi cha uwekezaji wa mtu mmoja kwa sasa Pascal steven Ndio muwekezaji mkubwa kwa kumiliki hisa elfu 100 Akifuatwa kwa karibu na Lucia robson Mwenye vipande Vya hisa elfu 80 Wengine wanafuta nambari tatu akiwa na hisa Elfu 50 Nambari 4 na 5 wanamiliki hisa elfu 40 kwa kila mmoja nafasi ya 6 na kuendelea wanamiliki kuanzia hisa Elfu 25 Mpaka hisa tano kwa kweli wanachama wa taskiu wameelimika kwa tukio hilo kwani kila mwanachama anamiliki hisa angalao hata 5 yani kati ya asilimia 100 ya wanachama wote asilimia 85.5 wana hisa hili ni jambo la kujivunia
Rebecca simon Ambaye pia ni afisa mipango wa taskiu naye akiwa anamiliki vipande Elfu 10 Vya hisa amesema kuwa uhakika wa kufikia lengo kwa sasa umeonekana wazi kutokana na watu wanavyojitoa kununua hisa.

