HAPPY NEW YEAR 2021 tunasema kwaheri 2020 na kukaribisha rasmi 2021 katika safari mpya ya mafanikio katika kuelekea kutimiza madhumuni ya UMOJA kwa pamoja haya majina yafuatayo yatajumuishwa katika salamu za mwanzo wa mwaka 2021 za TASKIU GROUP COMPANY LIMITED

KWANZA yote kabla ya chochote tukutakie
Heri ya mwaka mpya 2021 safari ya uhakika tumevuka
Wakati tukiendelea na mikakati na mipango ya mwaka huu mpya wanachama wa mashirika yoote yanayomilikiwa na
Taskiu
Kama Hugal, The Boss, Best Design, Santana Na makundi yoote ya sanaa na utamaduni kwa pamoja yanakuambia
Happy+New+Year
TUNASEMA HUU NI MWANZO TU KAZI NDIO INAKWENDA KUANZA

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Mradi mpya wa usambazaji wa movie zilizotafsiriwa kiswahili na madj wa kali wa TANZANIA sasa ni moja ya mipango mipya ya mwaka 2022