HII NI KUBWA KULIKO "WHITE FURNITURE" WAMEKUJA KIVINGINE KABISA KATIKA KARNE HII YA KIDIGITALI WANAKUJIA NA THAMANI ZA KISASA KWA AJILI YA MAJUMBANI NA MAOFISINI

VIP MDAU
MAISHA NI MSWAKI TU SAIVI
Neno kinywani mwa wajanja sasa ni
WHITE FURNITURE
WAkali wa thamani za maofisini na majumbani kutoka Keko Dar Es Salaam wanakuja na bidhaa mpya na za kijanja kinoma noma kama unavyoona hapo pichani ni hatari.
woy ni hatari tena wanatisha hawa jamaa ila tena hawajaishia apo ona hizi tena dah,
hizo ni meza tu lakini pia makabati wanayo kama ivi
ebwanae ni atari umeona na hiyo?
cha kufanya bwana ili kujipatia mavitu ya kijanja kama hayo wacheki whatsap namba
+255 712 965 608

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Kuna haja ya kumpa ofisi bwana Clement Chagu Wadatoga atufanyie mambo makubwa