ULIMWENGU MPYA WA TECKNOLOJIA TASKIU HATUJAACHWA HATA KIDOGO NDIO MAANA TUNAKULETEA SIMU ZENYE UWEZO WA DUNIA YA MWISHO AINA YA IPHONE 13 PRO & PRO MAX ILI UENDE SAMBAMBA NA UKUAJI WA KASI WA TECNOLOJIA
KATIKA ulimwengu huu wa maendeleo kama mkononi hujashika
I phone 13 pro na i phone 13 pro maxNYAMAza kimya kabisa ebanae dunia inaendelea kwa kasi ya 5g+ sijui unakua kwa wapi kipindi hichi lakini ili uende sambamba na mabadiliko hayo Taskiu Chini ya mradi wake wa maduka ya vifaa vya umeme na tecnolojia maarufu kama
The BossWAmeushusha mzigo mpya kabisa ni kitu cha I phone 13 pro Na I phone 13 pro max Pichani hapo au sio Hapo vipi cha kufanya tembelea maduka yetU nchini au pga simu Taskiu Ofice mwanza tz