Hatimaye TASKIU GROUP COMPANY LIMITED yaamua rasmi kujikita kwenye ulingo wa sanaa rasmi

Azimio hilo limepita rasmi kwenye kikao cha fungua mwaka cha bajeti ambapo Taskiu Imeamua rasmi kujikita zaidi katika sanaa mbalimbali ikiwemo ngoma za asili uigizaji uimbaji pamoja na fani nyingi nyingi za sanaa hivyo tunatazamia mambo makubwa zaidi 2022
taskiu 2022 world of entertainment

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Mradi mpya wa usambazaji wa movie zilizotafsiriwa kiswahili na madj wa kali wa TANZANIA sasa ni moja ya mipango mipya ya mwaka 2022