Machapisho

Imetuchukua karibu siku tano wadau wa TASKIU GROUP CO LTD mwanza kuamini kua ni kweli DKT MAGUFULI amefariki

Picha
Huwezi ukamuelezea mazuri ya binafsi tu sisi kama shirika hapana ni pamoja na alivowapenda wanyonge na kuonyesha kuwa yeye ni mtetezi wa wanyonge lipi ambalo unaweza kupinga maneno yake kwani muda wote alimsikiliza mtu yeyote bila kuangalia hali yake hakika tunasema KIMEONDOKA CHUMA LIMEONDOKA JEMBE NGUZO TULOEGEMEA IMEDONDOKA SINA maana kwamba ndio tumedondoka Hapana lakini utakubaliana nami kuyumba tutayumba kidogo yote kwa yote ni kusema tu PUMZIKA BABA TUTAONANA BADAYE

Habari mpya kutoka kamati ya fedha na mipango ni kuwa PASCAL STEVENI amenunua vipande zaidi vya hisa ndani ya kampuni

Picha
Sio kushangaza watu tu bali limeacha nyuso za wanachama wa TASKIU GROUP CO.LTD Katika hali ya burudani na bashasha baada ya kununua tena vipande vya hisa 100 elfu ikiwa ni mwaka mmoja umepita tangu alivyofanya tukio kama hilo Kwa sasa pascal pichani anamiliki hisa elfu 200 zenye thamani ya milioni 150 hiyo ndio safari ya uhakika

2021 TASKIU GROUP COMPANY LIMITED INAKUSHIKA MKONO KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO WEKEZA NA SISI TUKUSHIKE MKONO 2021

Picha
TUNAANZA NA WEWE NA TUNAMALIZA NA WEWE mafanikio yako ni mafanikio yetu pia.

21 CENTURY THE BOSS ELECTRONIC STORE tunajali hitaji lako

Picha

HAPPY NEW YEAR 2021 tunasema kwaheri 2020 na kukaribisha rasmi 2021 katika safari mpya ya mafanikio katika kuelekea kutimiza madhumuni ya UMOJA kwa pamoja haya majina yafuatayo yatajumuishwa katika salamu za mwanzo wa mwaka 2021 za TASKIU GROUP COMPANY LIMITED

Picha
KWANZA yote kabla ya chochote tukutakie Heri ya mwaka mpya 2021 safari ya uhakika tumevuka Wakati tukiendelea na mikakati na mipango ya mwaka huu mpya wanachama wa mashirika yoote yanayomilikiwa na Taskiu Kama Hugal, The Boss, Best Design, Santana Na makundi yoote ya sanaa na utamaduni kwa pamoja yanakuambia Happy+New+Year TUNASEMA HUU NI MWANZO TU KAZI NDIO INAKWENDA KUANZA