THAMANI YA KIPANDE CHA HISA NDANI YA TASKIU GROUP CO.LTD NI RASMI IMEPANDA
Huenda labda unajiuliza kuwa itakuaje maana labda ulisikia tetesi kuwa kuna uwezekano tukatoka kwenye kununua kipande kimoja cha HISA Shilingi 750 hadi kukinunua shilingi 1000 za kitanzania hio ilikua inahisiwa sasa jana rasmi katika kikao cha pili cha mwaka limepitishwa rasmi na kukubaliwa na wajumbe wote wa mkutano hivyo kuanzia jana Kwa mujibu wa katiba ni kwamba thamani ya kipande cha HISA Ni shilingi 1000 pesa za kitanzania lakini je kwa wale walionunua kipande shilingi 750 itakuaje wala usitie shaka Mdau Kama umenunua kipande kwa bei ya zamani kuna njia mbili za uboresHaji (1) Ubaki na hesabu lako la vipande ulivyonavyo kisha januari kauika gawio ukatwe shilingi 250 kwa kila kipande unachomiliki ili kujazia thamani ya kipande kuwa 1000 au (2) vipande vyako vipunguzwe kwa idadi itakayoruhusu thamani ya vipande vyako vyote kuwa shilingi 1000 kama hujaelewa unashauriwa kuwasiliana na uongozi mapema kwa maelekezo zaidi.